ONE ON ONE NA BABIROY ` MERU'S FINEST '

Mahojiano ya moja kwa moja na msanii tajika tokea Meru !

Om Podcasten

Tunaangazia baadhi ya interview kubwa zaidi kuwahi fanywa ndani ya ' African Mashup '. Pata kuenjoy mahojiano ya moja kwa moja na wasanii tajika hapa Afrika.