ONE ON ONE NA STIVO SIMPLE BOY

Mahojiano ya moja kwa moja na msanii wa hiphop ' Stivo Simple Boy '

Om Podcasten

Tunaangazia baadhi ya interview kubwa zaidi kuwahi fanywa ndani ya ' African Mashup '. Pata kuenjoy mahojiano ya moja kwa moja na wasanii tajika hapa Afrika.