Épisode 14: Le professeur Kouada est grand et mince

Akisafiri na Clement kwa gari au kwa mtumbwi, Kwame anaanza kuelewa iliokuwa kazi ya bosi wake, mtaala; wa vinasaba vya kilimo. Mara mbili, wamejaribu kumtoa kwenye uchunguzi wake: kwa kumuwekea sumu aina ya Chapalo mjini Boubon; na kumzuia kukutana na profesa Kouada mjini Niamey. Kwa msaada wa Nathalie, akagundua baadhi ya maneno ya siri ili kufungua jalada la maajabu la " Sahel iliyo ya kijani".

Om Podcasten

Tamthilia ya redioni ya lugha mbili katika matukio 25 ya dakika 7 ili kusikiliza kwa lugha ya kifaransa na kwa lugha asilia mikasa yote ya ya kipolisi inayovutia.