Épisode 25: Il faut croire au conte

Je, Kwame atafanikiwa kuepuka operesheni ya polisi ili kumuokoa "mtu mwadilifu na mwema"? Ni usiku sasa, mahali panapofungamana, ndipo ambapo tukio  la mwisho litafanyika! Watu wa Fendjougou wana silaha, polisi pia, pesa za kulipia kuachiwa kwa mateka zipo tayari: Yuro 100,000 ambazo zinaweza kusababisha tamaa nyingine ...

Om Podcasten

Tamthilia ya redioni ya lugha mbili katika matukio 25 ya dakika 7 ili kusikiliza kwa lugha ya kifaransa na kwa lugha asilia mikasa yote ya ya kipolisi inayovutia.