Épisode 8: Le Sahara pleure, il veut reverdir

Baada ya kutuhumiwa na polisi kuhusika katika utekaji wa bosi wake Profesa Omar, Kwame alikamatwa. Anaachiwa baada ya watekaji kudai malipo ya kumkomboa profesa Omar. Kwame anamkaribia Nathalie kwa sababu yeye pia anaijua hadithi hii... Uchunguzi wake utampeleka Kwame hadi Niger, katika Chuo Kikuu cha Niamey.

Om Podcasten

Tamthilia ya redioni ya lugha mbili katika matukio 25 ya dakika 7 ili kusikiliza kwa lugha ya kifaransa na kwa lugha asilia mikasa yote ya ya kipolisi inayovutia.